Minyamaonana naa na na na naah Imuh
Naye ndo kanidaka juu juu, na penzi lake kama dege lankijeshi, Ye ndo katibu wa nidhamu anani search mpka ndani kwenye fensi Ayeee!
Amenivuruga Amenibambanya jamani si utani, Na kama padri na msalaba shekhe na msikiti ndo yeye na mimi
Na baby basi stop weka nukta, ukizidisha mwenzio nutachizika, hili penzi ama sadaka, unanipa mpka nashindwa pakuweka.
Na mara popo kanyea mbingu, miguu juu juu kama tunacheza judo, dozi mchana usiku sipatia nafuu kmaa naumwa kifaduro
baby punguza raha mi nakuwa kibonge nanennepa, kwani hakuna dagaa mbona kila siku wanipa mafupa