Mbali Sana1. Mbali sana sauti za dhambi zaniita, Nikajua maovu yametanda kote,
Hofu na fedheha kwangu hazitanitisha, Ninatazamia nchi nzuri.
Naishi mlimani chini ya wingu safi, Nanyweshwa chemichemi, livujikalo tele, Kweli - nalishwa ile maana isiyoisha kamwe, Katika nchi, nchi nzuri x2.
2. Mbali tena dhoruba dunia inayumba, cdui vita ni kubwa wana wa Mungu, Nami kwa neno la Bwana sitarudi nyuma, Ninatazamia nchi nzuri.
3. Hata mawimbi yavume sitatingizika, Ni mabawani mwake Mungu hunikinga, Jua laniangazia siogopi kitu,